Habari za Punde

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ahutubia Mkutano wa Hadhara Mkoani Iringa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mkoa wa Iringa kwenye Mkutano wa Hadhara uliofanyika katika Uwanja wa CCM Samora tarehe 12 Agosti, 2022. 


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Mkoa wa Iringa alipowasili katika Uwanja wa CCM Samora kwa ajili ya kuhutubia Mkutano wa Hadhara tarehe 12 Agosti, 2022.


Wananchi wa Mkoa wa Iringa kwenye Mkutano wa Hadhara wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia   Suluhu Hassan

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.