Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akutana na Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Iran Ikulu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na  Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchini Iran  Mhe.Hossein Amir Abdollahian (wa tatu kushoto)  alipofika na Ujumbe wake  Ikulu Jijini Zanzibar  akiwa ziarani Nchini.[Picha na Ikulu] 26/08/2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi   Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchini Iran  Mhe.Hossein Amir Abdollahian baada ya mazungumzo yao leo  alipofika na Ujumbe wake  Ikulu Jijini Zanzibar  akiwa ziarani Nchini.[Picha na Ikulu] 26/08/2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi  akiagana na mgeni wake    Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchini Iran  Mhe.Hossein Amir Abdollahian (kushoto) baada ya mazungumzo yao leo  alipofika na Ujumbe wake  Ikulu Jijini Zanzibar  akiwa ziarani Nchini.[Picha na Ikulu] 26/08/2022
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.