Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi awaapisha viongozi aliowateua karibuni leo Ikulu

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Nd,Rajab Yussuf Khamis Mkasaba kuwa   Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja,kabla alikuwa mwandishi wa habari wa Rais, hafla iliyofanyika leo   ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu,] 05/08/2022.

NDUGU RAJAB  Yussuf Khamis Mkasaba  akiapa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja, akiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla hiyo iliyofanyika leo 5-8-2022 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Nd, Juma Makungu Juma   kuwa Naibu Waziri wa  Ardhi na Maendeleo ya Makaazi,  katika  hafla iliyofanyika leo   ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu,] 05/08/2022.

Mhe.Juma Makungu Juma akiapa Kuwa Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi, akiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-8-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha  Nd,Rashid Ali Salim kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda katika hafla iliyofanyika leo   ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu,] 05/08/2022.


NDUGU Rashid Ali Salum  akiapa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar, akiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla hiyo iliyofanyika leo 5-8-2022 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg. Masoud Hussein Iddi kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais- Ikulu Zanzibar, na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-8-2022.(Picha na Ikulu)

NDUGU.Masoud Hussein Iddi akiapa kuwa Katibu Mkuu katika Ofisi ya Rais –Ikulu  Zanzibar akiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-8-2022.(Picha na Ikulu)
DKT.Maua Abeid Daftari akiapa kuwa Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar, akiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla hiyo iliyofanyika leo 5-8-2022 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dkt.Maua Abeid Daftari kuwa Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar,na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-8-2022.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.