Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Mbio Amref Wogging Marathon ya Kilimota 10 na Kilimota Tano, zilizoazia katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja na kumalizikia katika viwanja vya Amani leo 27-8-2022. kwa Ajili ya kuchangia Vifaa Tiba kwa Uzazi Salama.
Washiriki wa Amref Wogging Marathon kilimita 10 wakiaza mbio hizo katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja na kumalizikia katika viwanja vya Amaan leo 27-8-2022.
HAKIKISHENI MRADI WA BWAWA LA MAJI KIDUNDA HAUSIMAMI - DKT MWIGULU
-
WAZIRI MKUU Dkt Mwigulu Nchemba ameiagiza Wizara ya Maji kuhakikisha mradi
wa Bwawa la Maji Kidunda hausimami na unakamilika kwa wakati ili uanze
kutoa hud...
1 hour ago
0 Comments