Habari za Punde

WAZIRI MKUU AHANI MSIBA WA MTOTO WA MBUNGE WA NDADA CECIL MWAMBE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisaini kitabu cha maombolezo, wakati alipohani msiba wa Celia Mwambe, ambaye ni mtoto wa Mbunge wa Ndada Cecil Mwambe, nyumbani kwake, Kinondoni jijini Dar es Salaam, Agosti 25 2022. 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Ndada Cecil Mwambe, wakati alipohani msiba wa Celia Mwambe, ambaye ni mtoto wa Mbunge huyo, nyumbani kwake, Kinondoni jijini Dar es Salaam, Agosti 25 2022. Kulia ni mwenza wake Rose Tweve.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pole Mbunge wa Ndada Cecil Mwambe, wakati alipohani msiba wa Celia Mwambe, ambaye ni mtoto wa Mbunge huyo, nyumbani kwake, Kinondoni jijini Dar es Salaam, Agosti 25 2022. Kulia ni mwenza wake Rose Tweve. 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pole Mbunge wa Ndada Cecil Mwambe, wakati alipohani msiba wa Celia Mwambe, ambaye ni mtoto wa Mbunge huyo, nyumbani kwake, Kinondoni jijini Dar es Salaam, Agosti 25 2022. Kulia ni mwenza wake Rose Tweve. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu),
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.