Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein Atowa Mkono wa Pole kwa Familia ya Mareheme Hassan Ali Hassan Mwinyi Chukwani leo 4-9-2022

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar (CCM) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mstaafu Awamu ya Saba Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitowa Mkono wa Pole kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu Awamu wa Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi  kwa kufiwa na Mtoto wake Marehemu Hassan Ali Hassan Mwinyi alipofika nyumbani kwa marehemu Chukwani  Wilaya ya Magharibi ”B” Unguja, kutowa mkono wa pole kwa familia ya marehemu leo 4-9-2022, na (kulia kwa Mzee Mwinyi ) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar (CCM) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mstaafu Awamu ya Saba Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitowa Mkono wa Pole kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mstaafu Awamu wa Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi  kwa kufiwa na Mtoto wake Marehemu Hassan Ali Hassan Mwinyi alipofika nyumbani kwa marehemu Chukwani  Wilaya ya Magharibi ”B” Unguja, kutowa mkono wa pole kwa familia ya marehemu leo 4-9-2022, na (kulia kwa Mzee Mwinyi ) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar (CCM) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mstaafu Awamu ya Saba Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein  akizungumza na kutowa mkono wa pole kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, kwa kufiwa na Mtoto wake Marehemu Hassan Ali Hassan Mwinyi, na (kulia kwa Mzee Mwinyi) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa Baraza la Mapinduzi  Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi, alipofika nyumbani kwa Marehemu Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kutowa mkono wa pole kwa familia ya marehemu leo 4-9-2022
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi  akizungumza na kupokea mkono wa pole kutoka kwa Makamu  Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar (CCM) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mstaafu Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,  alipofika nyumbani kwa marehemu Hassan Ali Hassan Mwinyi Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 4-9-2022,kutowa  mkono wa pole kwa familia ya marehemu
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mstaafu Awamu ya Saba  Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitowa mkono wa pole kwa Watoto wa Marehemu Hassan Ali Hassan Mwinyi  alipofika nyumbani kwa marehemu Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 4-9-2022, kutowa mkono wa pole kwa familia ya marehemu


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.