Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Mpango Amekutana na Kuzungumza na Rais wa Rwanda Mhe. Kagame

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Rwanda  Mheshimiwa Paul Kagame  Mazungumzo yaliofanyika katika  Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kigali nchini Rwanda.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame, baada ya kumaliza Mazungumzo yao yaliyofanyika katika  Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kigali nchini Rwanda.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.