Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ambe Pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Dk Hussein Mwinyi Ashiriki Uchaguzi wa Viongozi wa CCM jimbo la Mpendae Unguja leo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga kura kumchagua Mwenyekiti na Viongozi  wa CCM Jimbo la Mpendae Unguja, uchaguzi uliyofanyika leo 4-9-2022,katika ukumbi wa Tawi la CCM Mpendae.(Picha na Ikulu)
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Mpendae Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Wajumbe baada ya kupiga kura kuwachagua Viongozi wa CCM Jimbo la Mpendae Unguja, uchaguzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Tawi la CCM Mpendae leo 4-9-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Mpendae Unguja, baada ya kupiga kura kuwachagua Viongozi wa CCM Jimbo la Mpendae uchaguzi uliyofanyika leo katika ukumbi wa Tawi la CCM Mpendae leo 4-9-2022.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.