Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amemuapisha Mkurugenzi Mkuu wa ZAECA Ndg.Ali Abdalla Ali Ikulu Zanzibar leo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar wakati ukipigwa wimbo wa Taifa wa Tanzania na wa Zanzibar na wa Afrika Mashariki wakati wa hafla ya kumuapisha Mkurugenzi Mpya wa ZAECA leo 8-9-2022,hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu ZanzibarNdg. Ali Abdalla Ali akiwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 8-9-2022, akisubiria kuapishwa kuwa  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg.Ali Abdalla Ali kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA), hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika leo 8-9-2022 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Ndg. Ali Abdalla Ali akiwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 8-9-2022, akisubiria kuapishwa kuwa  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg.Ali Abdalla Ali kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA), hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika leo 8-9-2022 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Ndg.Ali Abdalla Ali  akiapa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) akiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar anzibar leo 8-9-2022
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) Ndg. Ali Abdalla Ali akisaini baada ya kumaliza kiapo wakati wa hafla ya kuapishwa iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 8-9-2022

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar baada ya kumuapisha Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) Ndg.Ali Abdalla Ali, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 8-9-2022

WAKUU wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza baada ya kumaliza kumuapisha Mkurugenzi Mkuu wa (ZAECA) hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 8-9-2022
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) Ndg. Ali Abdalla Ali,akiwa na Viongozi  mbalimbali katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar akifuatila mazungumzo ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, baada ya kumalizika kwa hafla ya kuapisha iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 8-9-2022.
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.