Habari za Punde

Timu ya Namungo Yaichapa Bao 1-0 Timu ya Ruvu Shooting Michuano ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara ya NBC

Hassan Kabunda wa Namungo FC (kulia) akimiliki mpira huku akizongwa na Haruna Chanongo wa Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania  Bara ya NBC kwenye uwanja wa Majaliwa katika halmashauri ya Ruangwa mkoa wa Lindi  Namungo FC ilishinda 1-0.

Hassan Kabunda wa Namungo FC (kulia)  na Shaban Msala  wa Ruvu Shooting wakiwania mpira katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ya NBC kwenye uwanja wa Majaliwa katika halmashauri ya Ruangwa mkoa wa Lindi, Septemba 11, 2022. Namungo FC ilishinda 1-0. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.