Habari za Punde

Ujenzi wa Barabara ya Mwera hadi Fuoni Kisimani (Kwa Chimbeni) Ukiendelea na Ujenzi wake.

Mafundi wa Ujenzi wa Barabara ya Mwera hadi Fuoni Kisima (kwa Chimbeni) inayojengwa kwa kiwango cha lami na Kampuni ya Iris kutika Nchini Uturuki ikiendelea na ujenzi huo kama walivyokutwa na mpiga picha wetu wakiwa katika ujenzi wa daraja katika barabara hiyo. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.