Habari za Punde

Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Mazrui Anekutana na Kuzungumza na Ujumbe wa Willow International

Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui akiwakabidhi zawadi maalum watendaji wa  Willow  International  mara baada ya kujadili maswala  mbalimbali ikiwemo  uimarishaji wa Afya za Jamii huko Ofisi Kwake Mnazimmoja Zanzibar.
Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui akizungumza na watendaji wa  WILLOW International  wakati walipofika Ofisini kwake Mnazimmoja Kujadili maswala mbalimbali ikiwemo  uimarishaji wa Afya za jamii

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.