Habari za Punde

Balozi wa China azungumza na wanahabari Zanzibar

Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Hassan Khatibu Hassan akitoa hotuba ya makaribisho katika mkutano wa Balozi wa China Zhang Zhi Sheng na Vyombo vya Habari mbalimbali kuelezea Uchaguzi wa Chama Tawala cha China pamoja na Maendeleo mbalimbali yaliofikiwa kwa muda wa Miaka kumi iliopita hafla iliofanyika katika ukumbi wa Ubalozi huo Mazizini Zanzibar.
Balozi wa China Zhang Zhi Sheng akizungumza na Vyombo vya Habari mbalimbali kuhusiana na  Uchaguzi wa Chama Tawala cha China (CPC)pamoja na Maendeleo mbalimbali yaliofikiwa kwa muda wa Miaka kumi iliopita hafla iliofanyika katika ukumbi wa Ubalozi huo Mazizini Zanzibar.

Balozi wa China Zhang Zhi Sheng akisisitiza jambo wakati akizungumza na Vyombo vya Habari mbalimbali kuhusiana na  Uchaguzi wa Chama Tawala cha China (CPC)pamoja na Maendeleo mbalimbali yaliofikiwa kwa muda wa Miaka kumi iliopita hafla iliofanyika katika ukumbi wa Ubalozi huo Mazizini Zanzibar.

Mhariri mtendaji wa Gazeti la Zanzibar Leo Ali Haji Mwalimu akizungumza katika Mkutano wa Waandishi wa Habari na Balozi wa China Zhang Zhi Sheng kuhusiana na  Uchaguzi wa Chama Tawala cha China (CPC)pamoja na Maendeleo mbalimbali yaliofikiwa kwa muda wa Miaka kumi iliopita hafla iliofanyika katika ukumbi wa Ubalozi huo Mazizini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Vijarida na Magazeti Yussuf Omar Chunda akitoa maelezo katika Mkutano wa Waandishi wa Habari na Balozi wa China Zhang Zhi Sheng kuhusiana na  Uchaguzi wa Chama Tawala cha China (CPC)pamoja na Maendeleo mbalimbali yaliofikiwa kwa muda wa Miaka kumi iliopita hafla iliofanyika katika ukumbi wa Ubalozi huo Mazizini Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Khamisi Abdalla Saidi akizungumza katika Mkutano wa Waandishi wa Habari na Balozi wa China Zhang Zhi Sheng kuhusiana na  Uchaguzi wa Chama Tawala cha China (CPC)pamoja na Maendeleo mbalimbali yaliofikiwa kwa muda wa Miaka kumi iliopita hafla iliofanyika katika ukumbi wa Ubalozi huo Mazizini Zanzibar.

Katibu Mkuu Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Fatma Hamadi Rajabu akisisitiza jambo wakati akizungumza katika Mkutano wa Waandishi wa Habari na Balozi wa China Zhang Zhi Sheng kuhusiana na  Uchaguzi wa Chama Tawala cha China (CPC)pamoja na Maendeleo mbalimbali yaliofikiwa kwa muda wa Miaka kumi iliopita hafla iliofanyika katika ukumbi wa Ubalozi huo Mazizini Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Fatma Hamadi Rajabu  akizungumza katika Mkutano wa Waandishi wa Habari na Balozi wa China Zhang Zhi Sheng kuhusiana na  Uchaguzi wa Chama Tawala cha China (CPC)pamoja na Maendeleo mbalimbali yaliofikiwa kwa muda wa Miaka kumi iliopita hafla iliofanyika katika ukumbi wa Ubalozi huo Mazizini Zanzibar.

Balozi wa China Zhang Zhi Sheng (katikati)akiwakatika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Fatma Hamadi Rajabu (kulia)na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Hassan Khatibu Hassan (kushoto)na Viongozi mbalimbali baada ya kumaliza Mkutano na Waandishi wa Habari kuhusiana na  Uchaguzi wa Chama Tawala cha China (CPC)pamoja na Maendeleo mbalimbali yaliofikiwa kwa muda wa Miaka kumi iliopita hafla iliofanyika katika ukumbi wa Ubalozi huo Mazizini Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.