Mchezo wa Ligi Kuu ya PBZ Premier League Zanzibar kati ya Timu ya Kundemba na Polisi mchezo unaofanyika Uwanja wa Amaan Unguja jioni hii Timu ya Polisi Ikiongoza kwa bao 1-0 , mchezo ukiwa niu mapumziko kipindi cha kwanza.
Mchezo huo Timu hizo zimetoka kwa sare ya bao 1-1 mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar 1-10-2022.
No comments:
Post a Comment