Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Mpango akiwa katika
picha ya pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Dkt. Akinwumi Adesina
mara baada ya Mazungumzo baina yao
yaliofanyika katika katika ukumbi wa mikutano wa Makao Makuu ya AfDB
Jijini Abidjan nchini Ivory Coast.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Mpango akimkabidhi
zawadi ya picha ya moja ya vivutio vya utalii vinavyopatikana Zanzibar Rais wa
Benki ya Maendeleo ya Afrika Dkt. Akinwumi Adesina mara baada ya Mazungumzo
baina yao yaliofanyika katika katika ukumbi wa mikutano wa Makao Makuu ya AfDB
Jijini Abidjan nchini Ivory Coast
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Dkt. Akinwumi Adesina na ujumbe wake pamoja na wawakilishi wa Tanzania katika Jukwaa la Uwekezaji Barani Afrika 2022 mara baada ya Mazungumzo baina yao yaliofanyika katika katika ukumbi wa mikutano wa Makao Makuu ya AfDB Jijini Abidjan nchini Ivory Coast.
No comments:
Post a Comment