Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi aelekea Dodoma kushiriki vikao vya Chama cha Mapinduzi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatana na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiagana na Viongozi mbali mbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,leo  akiondoka   kuelekea Dodoma kushiriki vikao vya Chama cha Mapinduzi.[Picha na Ikulu] 21/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatana na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiagana na Viongozi mbali mbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, leo  akiondoka   kuelekea Dodoma kushiriki vikao vya Chama cha Mapinduzi.[Picha na Ikulu] 21/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na   Viongozi mbali mbali katika Uwanja wa Ndege wa Jiji la Dodoma leo,ambapo kesho atashiriki  kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa kitakachofanyika Chamwini.[Picha na Ikulu] 21/11/2022.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.