Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Amekutana na Kuzungumza na Balozi wa Qatar Nchini Tanzania

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Qatar nchini Tanzania, Hussein Bin Ahmad Al Homaid, Ofisini kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akiagana na Balozi wa Qatar nchini Tanzania, Hussein Bin Ahmad Al Homaid, alipofika Ofisini kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam Novemba 2, 2022.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.