Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi amuapisha Mhe. Simai Mohamed Said kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango Zanzibar,

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe. Simai Mohamed Said  Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika leo 3-12-2022, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)  
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya kiapo ya Mhe Simai Mohammed Said Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, baada ya kumuapisha kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 3-12-2022 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi hati ya kiapo baada ya kumuapisha kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said,Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika leo 3-12-2022 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)   
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.