Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan azungumza katika Mkutano wa Uwekezaji na Wafanyabiashara wa Marekani Jijini Washington

.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na Wafanyabiashara wa Marekani kuhusiana na Sekta ya Uwekezaji nchini Tanzania katika Mkutano uliofanyika Jijini Washington DC nchini Marekani tarehe 13 Desemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Makamu wa Rais Mtendaji na Mkuu wa Mambo ya Kimataifa wa Chemba ya Biashara ya Marekani Myron Brilliant (wa pili kutoka kushoto), Balozi wa Tanzania nchini Marekani Dkt. Elsie Kanza (wa kwanza kushoto) kabla ya kuanza Mkutano wa Uwekezaji na Wafanyabiashara Jijini Washington nchini Marekani tarehe 13 Desemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Wakfu wa Big Win Philanthropy Jamie Cooper Jijini Washington nchini Marekani tarehe 13 Desemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu wa Kilimo wa Marekani Thomas Vilsack pamoja na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo, Washington nchini Marekani tarehe 13 Desemba, 2022.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Katibu wa Kilimo wa Marekani Thomas Vilsack Jijini Washington nchini Marekani tarehe 13 Desemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Wakfu wa Big Win Philanthropy Jamie Cooper pamoja na ujumbe wake Jijini Washington nchini Marekani tarehe 13 Desemba, 2022.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Katibu wa Biashara wa Marekani Gina Raimondo kabla ya mazungumzo yao Jijini Washington nchini Marekani tarehe 13 Desemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Katibu wa Biashara Gina Raimondo Jijini Washington nchini Marekani tarehe 13 Desemba, 2022.

 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu wa Biashara wa Marekani Gina Raimondo pamoja na ujumbe wake Jijini Washington nchini Marekani tarehe 13 Desemba, 2022


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.