Habari za Punde

Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Watowa Huduma kwa Wananchi Katika Maonesho ya Mapinduzi Viwanja vya Maisara Suleiman Unguja

Wananchi wakipata huduma za Kibenki katika Banda la Maonesho la PBZ katika Maonesho ya Mapinduzi yanayofanyika katika Viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
Wafanyakazi wa PBZ wakitowa huduma za Kibenki kwa Wananchi waliofika katika maonesho ya Mapinduzi Viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.