Habari za Punde

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji azindua Ghala la kuhifadhia Chakula la Tani 1500 Kizimbani Sakafuni

Ghala la kuhifadhia Chakula la Tani 1500.Lililozinduliwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Mudrik Ramadhan Soraga Kizimbani Sakafuni Wilaya ya Magharibi A unguja .Ikiwa ni shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Kilimo Umwagiliaji Mali asili na Mifugo Shamata Shaame Khamis (kushoto) akibadilishana mawazo na Mkuu wa Wilaya Magharibi A, Suzan Peter Kunambi katika hafla ya Uzinduzi wa Ghala la kuhifadhia Chakula la Tani 1500.Kizimbani Sakafuni Wilaya ya Magharibi A unguja .Ikiwa ni shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa  Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Mudrik Ramadhan Soraga akikata Utepe kuashiria Uzinduzi wa Ghala la kuhifadhia Chakula la Tani 1500. Kizimbani Sakafuni Wilaya ya Magharibi A Unguja .Ikiwa ni shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa  Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Mudrik Ramadhan Soraga  akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi  Seliaris Pascal Francis katika  Uzinduzi wa Ghala la kuhifadhia Chakula la Tani 1500.Kizimbani Sakafuni Wilaya ya Magharibi A Unguja .Ikiwa ni shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Kilimo Umwagiliaji Mali asili na Mifugo Shamata Shaame Khamis akizungumza katika hafla ya Uzinduzi wa Ghala la kuhifadhia Chakula la Tani 1500.Kizimbani Sakafuni Wilaya ya Magharibi A Unguja .Ikiwa ni shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa  Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Mudrik Ramadhan Soraga akitoa Hotuba ya Uzinduzi wa Ghala la kuhifadhia Chakula la Tani 1500.Kizimbani Sakafuni Wilaya ya Magharibi A Unguja .Ikiwa ni shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Waziri wa  Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Mudrik Ramadhan Soraga akisisitiza jambo wakati akitoa Hotuba ya Uzinduzi wa Ghala la kuhifadhia Chakula la Tani 1500.Kizimbani Sakafuni Wilaya ya Magharibi A Unguja .Ikiwa ni shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.