Wafanyakazi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakibeba Mwili wa Marehemu Habibu Ali Mohamed aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Mtambile kwa ajili ya kuswaliwa sala ya maiti katika masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Mjini Magharibi leo [Picha na Ikulu] 03/03/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (wa tano kulia) akijumuika na Viongozi mbnali mbali na Waislamu katika kumswalia Marehemu Habibu Ali Mohamed aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Mtambile, katika masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Mjini Magharibi leo [Picha na Ikulu] 03/03/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (wa tano kulia) akijumuika na Viongozi na Waumini wa Dini ya Kiislamu kumuombea dua Mwili wa Marehemu Habibu Ali Mohamed aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Mtambile, katika masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Mjini Magharibi leo baada ya Swala ya Ijumaa.[Picha na Ikulu] 03/03/2023.
Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kaab (wa pili kushoto) akijumuika na Waislamu wengine kuupokea mwili wa Marehemu Habibu Ali Mohamed aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Mtambile, katika masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Mjini Magharibi leo kwa ajili ya swala maiti. [Picha na Ikulu] 03/03/2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimpa mkono wa pole Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid mara baada ya swala ya Maiti kumswalia Marehemu Habibu Ali Mohamed aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Mtambile, katika masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Mjini Magharibi leo (katikati) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemedi Suleiman Abdulla. [Picha na Ikulu] 03/03/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Viongozi baada ya Swala ya Ijumaa na kuswalia Mwili wa Marehemu Habibu Ali Mohamed aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Mtambile, katika masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Mjini Magharibi leo.[Picha na Ikulu] 03/03/2023.
No comments:
Post a Comment