RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Taasisi ya
Viwango Zanzibar (ZBS) kwa ajili ya Uzinduzi wa Maabara Nne Mpya za Taasisi ya
Viwango Zanzibar (ZBS) uliofannyika leo 15-3-2023 na (kushoto kwa Rais) Mke wa
Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana na (kulia kwa Rais) Waziri wa Biashara na Maendeleo
ya Viwanda Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban
MUONEKANO wa Jengo Jipya la Maabara la Taasisi
ya Viwango Zanzibar (ZBS) lililoko katika maeneo la Maruhubi Wilaya ya Mjini
Ugunja Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la
Msingi la Ufunguzi wa Maabara Nne Mpya za Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS)
Maruhubia Wilaya ya Mjini Unguja na (kushoto kwa Rais ) Mke wa Rais wa Zanzibar
Mama Mariam Mwinyi, uzinduzi huo uliyofanyika leo 15-3-2023

Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi
wakimsikiliza Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe. Omar
Said Shaban, akisoma maelezo ya Jiwe la Msingi la Uzinduzi wa Maabara Nne Mpya
za Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) baada ya uzinduzi huo uliofanyika leo
15-3-2023 Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Maabara 4 Mpya za
Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja Jijini
Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Mkuu
wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana na (kulia kwa
Rais) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban
na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) Bw. Yussuf Nassor
Majid, uzinduzi huo uliyofanyika leo 15-3-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi,
wakimsikiliza Afisa wa Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) wa Maabara ya Vifaa
vya Viwandani.Bi.Sumaiya Ismail Mtoro, wakati akitembelea Maabara Nne Mpya za
(ZBS) baada ya kuzifungua leo 15-3-2023, Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja na
(kushoto kwa Rais) Waziri wa Bishara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe. Omar
Said Shaban
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi,
wakimsikiliza Afisa wa Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) wa Maabara ya Vifaa
vya Viwandani.Bi.Sumaiya Ismail Mtoro, wakati akitembelea Maabara Nne Mpya za
(ZBS) baada ya kuzifungua leo 15-3-2023, Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi,
wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) Bw. Yussuf
Nassor Majid, wakati akitembelea Maabara Nne Mpya za Taasisi za Viwango
Zanzibar(ZBS) baada ya kuzifungua leo 15-3-2023, Maruhubi Wilaya ya Mjini
Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi,
wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) Bw. Yussuf
Nassor Majid, wakati akitembelea moja ya Maabara ya Taasisi hiyo, baada ya
kuzifungua leo 15-3-2023, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Biashara na Maendeleo
ya Viwanda Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban, uzinduzi huo uliyofanyika leo
Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Afisa wa Taasisi ya Viwango
Zanzibar (ZBS) Bw. Othman Ali Mzee, wakati akitembelea Maabara ya Vifaa vya
kupimia Vifaa vya Umeme, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Maabara Nne Mpya za
(ZBS) Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja leo 15-3-2023 na (kulia kwa Rais) Mke wa
Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Viwango
Zanzibar (ZBS) Bw. Yussuf Nassor Majid.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO ya Kuthamini na Kutambua
Mchango wako katika kukuza Viwango na Ubora Nchini, akikabidhiwa na Waziri wa
Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban, wakati wa hafla
ya Uzinduzi wa Maabara Nne Mpya za Taasisi ya Viwango Zanzibar.(ZBS) Maruhubi
Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 15-3-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa
Maabara Nne Mpya za Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) Maruhubi Wilaya ya Mjini
Unguja Jijini Zanzibar leo 15-3-2023.
WAFANYAKAZI wa Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS)
wakishangilia wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Uzinduzi
wa Maabara Nne Mpya za Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) Maruhubi Wilaya ya
Mjini Unguja leo 15-3-2023
BAADHI ya Viongozi wa Serikali,Wageni Waalikwa
na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Uzinduzi
wa Maabara Nne Mpya za Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) Maruhubi Wilaya ya
Mjini Unguja Jijini Zanzibar, uzinduzi huo uliyofanyika leo 15-3-2023.
No comments:
Post a Comment