WATEJA wa Benki ya BOA Zanzibar wakipata futari iliyoandaliwa na benki hiyo katika ukumbi wa Michenzani Mall.
NAIBU Mufti Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Mahmoud Mussa Wadi akiongoza waalikwa mbalimbali katika futari iliyoandaliwa na Benki ya BOA iliyofanyika katika ukumbi wa Michenzani Mall uliopo Michenzani Zanzibar.
MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya BOA, Adam Mihayo akizungumza katika hafla ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa wateja wao wa Zanzibar iliyofanyika katika ukumbi wa Michezani Mall.
MWENYEKITI wa Bodi ya benki ya BOA, Nehemiah Mchechu akizungumza katika hafla ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa wateja wao wa Zanzibar iliyofanyika katika ukumbi wa Michezani Mall.
NAIBU Mufti Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Mahmoud Mussa Wadi akiongoza waalikwa mbalimbali katika futari iliyoandaliwa na Benki ya BOA iliyofanyika katika ukumbi wa Michenzani Mall uliopo Michenzani Zanzibar.
NAIBU Mufti
Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Mahmoud Mussa Wadi(wa pili kushoto) akiagana na
viongozi wa benki ya BOA baada ya kumalizika kwa futari iliyoandaliwa na benki
hiyo kwa wateja wao waliopo Zanzibar, iliyofanyika katika ukumbi wa Michenzani
Mall.
No comments:
Post a Comment