MUONEKANI wa Jengo jipya la Masjid Al-Jumaa
Dunga Kiembeni uliofunguliwa leo 7-4-2023 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi, na kujumuika na Wananchi
katika Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo baada ya kufungulia.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la ufunguzi wa Masjid Al-Jumaa Dunga Kiembeni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika jana 7-4-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma maelezo ya Jiwe la Msingi la
Masjid Al-Jumaa Dunga Kiembeni, baada ya kuufungua jana 7-4-2023 na kujumuika na
Wananchi wa Dunga katika Ibada ya Sala ya Ijumaa na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa
Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadidi Rashid.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria kuufungua Msikiti
wa Masjid Al-Jumaa Dunga Kiembeni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja na
kujumuika na Wananchi wa Dunga katika Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika
msikiti huo leo 7-4-2023, na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja
Mhe.Rashid Hadid Rashid na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi na
(kulia kwa Rais) Imamu Mkuu wa Masjid Al Jumaa Dunga Kiembeni Sheikh. Khamis
Mabrouk Abdalla na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa
Kitwana.

No comments:
Post a Comment