RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akizungumza na Waandishi wa Habari na Wahariri wa Vyombo vya Habari mbalimbali katika
ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, ikiwa ni kawaida yake kuzungumza na Waandishi
kila mwisho wa mwezi, mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo
29-2023 na (kulia kwa Rais) Wakuu wa vyombo vya habari Zanzibar
WAKUU
wa Vyombo vya Habari Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa
mkutano wake na Waandishi wa habari na Wahariri wa vyombo vya Habari,
uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2023
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar leo 29-4-2023, ikiwa ni kawaida yake kila mwisho wa mwezi
kuzungumza na Waandishi wa habari mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa
Ikulu Zanzibar.
WAANDISHI
wa Habari wa Vyombo mbalimbali vya habari vilioko Zanzibar wakimsikiliza Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
(hayupo pichani) akizungumza na kujibu maswali yaliyoulizwa na Waandishi,
wakati wa mkutano wake wa kila mwisho wa mwezi kuzungumza na Waandishi, mkutano
huo uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2023

MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Ndg. Ramadhan A Bukini akizungumza wakati wa mkutano wa Wahariri na Waandishi wa vyombo vya habari na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2023.
No comments:
Post a Comment