Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na wafanyabiashara wakati akifungua Mkutano wa 14 wa Baraza hilo Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Juni, 2023.
Viongozi mbalimbali,
Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wafanyabiashara wakiwa kwenye mkutano wa 14 wa Baraza
la Taifa la Biashara (TNBC) uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Viongozi mbalimbali,
Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wafanyabiashara wakiwa kwenye mkutano wa 14 wa Baraza
la Taifa la Biashara (TNBC) uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam
Viongozi mbalimbali,
Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wafanyabiashara wakiwa kwenye mkutano wa 14 wa Baraza
la Taifa la Biashara (TNBC) uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment