Naibu
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis
akipokea taarifa ya Mkutano wa 19 Wataalamu kutoka nchi za Afrika mara baada ya
kuwasili katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia kwa ajili ya kushiriki
Mkutano wa 19 wa Baraza ka Mawaziri wa Mazingira wa Aafrika unaotarajiwa
kufanyika jijini Addis Ababa kuanzia leo tarehe 17 hadi 18 Agosti, 2023.
NMB yafadhili ziara ya kibiashara ya wajasiriamali 28 nchini China
-
Na Mwandishi Wetu
Benki ya NMB imefadhili ziara ya kibiashara ya wafanyabiashara 28, ambayo
inalenga kuwapa uzoefu wa moja kwa moja wa masoko ya China...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment