Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar "PBZ Premier League 2023/2024 " Kati ya JKU na Kundemba Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Mao Zedung Timu ya JKU Imeshinda Mchezo huo kwa Bao 2-1 n fu

Mshambuliaji wa Timu ya Kundemba Abdallah Iddi akijaribu kumpita beki wa Timu ya JKU Mubashid Sedu, wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar "PBZ Premier League 2023/2024" mchezo uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.Timu ya JKU imeshinda kwa bao 2-1. 
Mchezaji wa Timu ya JKU Suleiman Juma (mwenye jezi nyeupe) na beki wa Timu ya Kundemba Hassan Ramadhan wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar  PBZ Premier League 2023/2024, mchezo uliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.Timu ya JKU imeshinda mchezo huo kwa bao 2-1. 
Mchezaji wa Timu ya Kundema Khamis Msham akijianda kuzuiya mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar "PBZ Premier League 2023/2024" huku beki wa Timu ya JKU akijiandaa kumzuiya, mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar .Timu ya JKU imeshinda mchezo huo kwa bao 2-1.
Mshambuliaji wa Timu ya Kundemba Abdallah Iddi akimiliki mpira huku beki wa Timu ya JKU Mubashid Sedu,akijianda kumzuiya, wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar "PBZ Premier League 2023/2024" mchezo uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.Timu ya JKU imeshinda kwa bao 2-1.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.