Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara ) Ndg. Abdulrahaman Kinana Afungua Kampeni za CCM Uchaguzi Mdogo Jimbo la Mbarali kwa Kishindo

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM Bara) Ndg. Abdulrahman Kinana akimnadi na kumuombea Kura Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Mbarali Mkoani Mbeya.Ndg.Bahati Ndingo, wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Kampeni uliofanyika katika viwanja vya Stendi Chamila. 

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM (Bara) Ndg. Abdulrahman Kinana. akizungumza na Wananchi wa Mbarali Mkoani Mbeya wakati wa Uzinduzi wa Kampeni za CCM za Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbarali Mkoani Mbeya , mkutano huo uliofanyika katika viwanja vya Stendi Chimala 
Wanachama na Wananchi waliohudhuria Mkutano Huo 

Katibu wa NEC Idara ya Oganaizesheni akizungumza Katika Mkutano wa Kufunga Kampeni za CCM Jimbo la Mbarali Mkoani Mbeya. 
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Abdulrahman Kinana akisalimiana na Wananachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Jimbo la Mbarali baada ya kufungungua Kampeni ya Uchaguzi kwa Mgombea wa CCM, katika viwanja vya Stendi ya Chimala.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.