Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Mstaafu wa Nigeria
Mhe. Olesugun Obasanjo ambaye pia ni Balozi wa Taasisi ya Kimataifa ya Kilimo
(International Institute of Tropical Agriculture), Ikulu jijini Dar es Salaam,
tarehe 4, Septemba 2023.

wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais Mstaafu wa Nigeria
Mhe. Olesugun Obasanjo ambaye pia ni Balozi wa Taasisi ya Kimataifa ya Kilimo
(International Institute of Tropical Agriculture) pamoja na Waziri wa Kilimo
Mhe. Hussein Bashe (kulia), Ikulu jijini Dar es Salaam, tarehe 4, Septemba
2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais
Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olesugun Obasanjo ambaye pia ni Balozi wa Taasisi ya
Kimataifa ya Kilimo (International Institute of Tropical Agriculture), Ikulu
jijini Dar es Salaam, tarehe 4, Septemba 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais
Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olesugun Obasanjo pamoja na ujumbe wa Taasisi ya Kimataifa ya Kilimo (International
Institute of Tropical Agriculture), Ikulu jijini Dar Es Salaam, tarehe 4,
Septemba 2023.
No comments:
Post a Comment