Habari za Punde

Bacca aibuka Zanzibar kushuhudia timu yake ya zamani KMKM ikiifunga KVZ 2-0

Beki kisiki wa Timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars) na Timu ya Taifa ya Zanzibar na timu ya Young Africans SC Ibrahim Baca akiwa na viongozi wa timu yake ya zamani KMKM SC mara baada ya kumalizika kwa mchezo wetu dhidi ya KVZ FC, mchezo uliomalizika kwa KMKM kuwafunga  KVZ 2-0 .
Beki kisiki wa Timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars) na Timu ya Taifa ya Zanzibar na tumu ya Young Africans SC Ibrahim Bacca akiwa na wachezaji wa timu yake ya zamani KMKM SC mara baada ya kumalizika kwa mchezo wetu dhidi ya KVZ FC, mchezo uliomalizika kwa  KMKM kuwafunga KVZ 2-0 .
Ibrahim Bacca akisalimiana na mmoja wa viongozi wa KMKM 
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.