Mchezaji wa Timu ya Kipanga akijaribu kumpita beki wa Timu ya Mlandege katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar "PBZPremier League 2023-2024, mchezo uliofanyika Uwanja wa Mao Zedung.
SHIRIKA LA TPDC YABAINISHA UTAFITI WA MAFUTA UTAVYOSAIDIA KUKUZA PATO LA
TAIFA
-
Na Oscar Assenga,TANGA
Utafiti wa mafuta uliofanywa katika Bonde la Eyasi-Wembere, lililopo katika
Bonde la Ufa la Afrika Mashariki umeelezwa kuwa ut...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment