Habari za Punde

Mapokezi rasmi ya Rais wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson

Rais wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akiwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma kutokea jijini Luanda Angola. Oktoba 30, 2023.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Rais wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, wakati alipopokelewa rasmi katika uwanja wa ndege wa Dodoma kutokea jijini Luanda Angola. Oktoba 30, 2023. Kushoto kwa Waziri Mkuu ni Naibu Waziri Mkuu Kassim, Dkt. Doto Biteko.

Rais wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akikabidhiwa maua na Mbunge wa Urambo Margaret Sitta, wakati alipopokelewa rasmi katika uwanja wa ndege wa Dodoma kutokea jijini Luanda Angola. Oktoba 30, 2023.
Rais wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akizungumza na baadhi ya wananchi waliyokuja kumpokea katika uwanja wa ndege wa Dodoma kutokea jijini Luanda Angola. Oktoba 30, 2023
Rais wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akizungumza na baadhi ya wananchi waliyokuja kumpokea katika uwanja wa ndege wa Dodoma kutokea jijini Luanda Angola. Oktoba 30, 2023
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza baada ya kumpokea rasmi, Rais wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma.
Rais wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akizungumza na Wabunge, baada ya kupokelewa kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.