Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi aufungua mkutano Mkuu wa 30 wa Vyombo vya Utangazaji vya Umma Kusini mwa Afrika (SABA)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi alipowasili katika Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Mkoa wa Mjini Magharibi leo kuufungua Mkutano Mkuu wa 30 wa Vyombo vya Utangazaji vya Umma Kusini mwa Afrika (SABA).[Picha na Ikulu] 10/10/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto -SMZ Mhe.Riziki Pembe Juma kwa Niaba ya Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita(katikati)   wakifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa(kushoto)na Rais wa SABA Bw.Stanley Benjamin Similo kuelekea  Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Mkoa wa Mjini Magharibi,alipowasili kuufungua Mkutano Mkuu wa 30 wa Vyombo vya Utangazaji vya Umma Kusini mwa Afrika (SABA).[Picha na Ikulu] 10/10/2023.

Baadhi ya Washiriki wa mkutano mkuu wa 30 wa vyombo vya Utangazaji vya Umma Kusini mwa Afrika (SABA) wakifuatilia kwa makini mada mbali mbali zilizotolewa katika mkutano huo wa siku tatu uliofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekikti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 10/10/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto)akiufungua mkutano mkuu wa 30 wa vyombo vya Utangazaji vya Umma Kusini mwa Afrika (SABA) utakaofanyika kwa siku tatu katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 10/10/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)alipokuwa akimkabidhi cheti Meneja Masoko wa Benki ya PBZ Ndg.Seif Suleiman Mohamed katika mkutano mkuu wa 30 wa vyombo vya Utangazaji vya Umma Kusini mwa Afrika (SABA) unaofanyika kwa siku tatu katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 10/10/2023.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea tunzo maalum kutoka kwa Rais wa SABA Bw.Stanley Benjamin Similo katika mkutano Mkuu wa 30 wa Vyombo vya Utangazaji vya Umma Kusini mwa Afrika (SABA) mara baada ya kuufungua leo katika ukumbi waHoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 10/10/2023.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.