Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akizuru kaburi la Hayati Mahatma Gandhi lililopo kwenye
Makumbusho ya Mahatma Gandhi Rajghat New
Delhi nchini India tarehe 09 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akirusha maua kwenye kaburi la Hayati
Mahatma Gandhi lililopo kwenye Makumbusho ya Mahatma Gandhi Rajghat New Delhi nchini India
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha wageni katika moja ya Ofisi zilizopo kwenye Jengo Maalum la kupokelea wageni wa
Kitaifa Hyderabad House New Delhi Nchini India
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa India Mhe. Narendra Modi katika Jengo Maalum la kupokelea wageni wa Kitaifa Hyderabad House New Delhi Nchini India tarehe 09 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akiagana na Waziri Mkuu wa India Mhe. Narendra Modi mara
baada ya mazungumzo katika Jengo Maalum
la kupokelea wageni wa Kitaifa Hyderabad House New Delhi Nchini India
tarehe 09 Oktoba, 2023.
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment