Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea taarifa ya timu aliyoiteua ya kuchunguza tuhuma za ubadhirifu wa fedha kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji kutoka kwa Mwenyekiti wa timu hiyo, Shedrack Kimaro, ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma, Oktoba 25, 2023.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kupokea taarifa ya timu aliyoiteua ya kuchunguza tuhuma za ubadhirifu wa fedha kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji, ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma, Oktoba 25, 2023. Kulia kwake ni Naibu Waziri wa TAMISEMI, Deogratius Ndejembi na kushoto kwake ni Mwenyekiti wa timu hiyo, Shedrack Kimaro.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment