Mkurugenzi Mkuu wa City Collede of Health Ilala Ndg. Shaban Mwanga akimkabidhi zawadi ya shilingi laki mbili mchezaji wa Timu ya Mlandege Abdalla Kitalaso kwa kuibuka mchezaji mwenye nidhamu katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi dhidi ya Timu ya Chipikizi mchezo uliyofanyika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar.Katika mchezo huo timuhizo zimetika sare ya 0-0.
HAKIKISHENI MRADI WA BWAWA LA MAJI KIDUNDA HAUSIMAMI - DKT MWIGULU
-
WAZIRI MKUU Dkt Mwigulu Nchemba ameiagiza Wizara ya Maji kuhakikisha mradi
wa Bwawa la Maji Kidunda hausimami na unakamilika kwa wakati ili uanze
kutoa hud...
2 hours ago


0 Comments