Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Ameongoza Wananchezo Katika Tamasha la Kitaifa la Mazoezi ya Viungo Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiwasalimia Wananchi wakati wakipita katika mitaa ya barabara ya muembemimba, wakiwa  katika Tamasha maalum la matembezi na mazoezi ya viungo, lililoazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani na kumalizikia katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja kwa mazoezi ya pamoja ya viungo
MWANANCHI wa mtaa wa mikunguni Unguja akiwa amembeba mtoto wake wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi , akiongoza Wanamichezo katika Tamasha la Kitaifa la matembezi na mazoezi ya viungo, lililoazia katika viwanja vya Michezani Square Wilaya ya Mjini Unguja na kumalizikia katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, kwa mazoezi ya pamoja ya viungo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza Wanamichezo  katika Tamasha la Kitaifa la mazoezi ya Viungo Zanzibar, lililoazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Wilaya ya Mjini Unguja na kumalizikia katika uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar kwa mazoezi ya pamoja ya viungo yaliyofanyika leo 1-1-2024 ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, na (kulia kwa Rais).Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhamed Mussa na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa ZABESA Ndg. Said Suleiman na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wanamichezo mbalimbali katika Tamasha la Mazoezi ya Viungo, baada ya kumaliza matembezi yaliyoazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Wilaya ya Mjini Unguja na kumalizikia katika uwanja New Amaan Complex Zanzibar kwa mazoezi ya pamoja ya viungo yaliyofanyika leo 1-1-2024, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa ZABESA Ndg.Said Suleiman

WASHIRIKI wa Tamasha la Kitaifa la mazoezi ya Viungo Zanzibar likipita katika jukwaa la Viongozi Wakuu wakimalizia matembezi hayo yaliyoazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Wilaya ya Mjini Unguja na kumalizikia katika uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar kwa mazoezi ya pamoja ya viungo, ikiwa shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar, kwa mazoezi ya pamoja ya viungo yaliyofanyika leo 1-1-2024. Katika uwanja huo

WASHIRIKI wa Tamasha la Kitaifa la mazoezi ya Viungo Zanzibar wakiwa katika mazoezi ya pamoja ya viungo, baada ya kumaliza matembezi hayo yaliyoazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Wilaya ya Mjini Unguja na kumalizikia katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, kwa mazoezi ya pamoja yaliyofanyika leo 1-1-2024, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Wanamichezo katika Tamasha la Kitaifa la mazoezi ya Viungo Zanzibar, lililofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, lililoazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Wilaya ya Mjini Unguja na kumalizikia katika uwanja huo kwa mazoezi ya pamoja ya viungo, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, lililofanyika leo 1-1-2024
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.