RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Balozi wa
Uholanzi Nchini Tanzania Mhe.Wieber De Boer, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar
kwa mazungumzo yaliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake
Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Mhe. Wieber De Boer, mazungumzo hayo
yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Balozi wa Uholanzi
Nchini Tanzania Mhe.Wieber De Boer, baada ya kumaliza mazungumzo yao
yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 8-1-2024
No comments:
Post a Comment