Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Kampuni ya CCECC, inayojenga Barabara hiyo, ikiwa ni shamrashamra za Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la
Ujenzi wa Mradi wa Barabara ya Uwanja wa Ndege -Kiembesamaki -Mnazi Mmoja
inayojengwa kwa kiwango cha lami (kushoto) Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na
Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohamed, hafla hiyo iliyofanyika katika
eneo la Uwanja wa Ndege Wilaya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo
8-1-2024, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu
ya Zanzibar.
VIONGOZI wa Kampuni ya CCECC inayojenga barabara
ya Uwanja wa Ndege – Kiembesamaki hadi Mnazi Mmoja wakifuatilia hutuba ya Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo
pichani) akizungumza na Wananchi katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya
Mjini Unguja Jijini Zanzibar, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Barabara hiyo
leo 8-1-2024, ikiwa ni shamrashamra za Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar
WAFANYAKAZI wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliani na Uchukuzi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wananchi katika
viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, baada ya
kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Uwanja wa Ndege
–Kiembesamaki hadi Mnazi Mmoja, hafla
hiyo iliyofanyika leo 8-1-2024, ikiwa ni shamrashamra za Miaka 60 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
WANANCHI wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wananchi katika
viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, baada ya
kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Uwanja wa Ndege
–Kiembesamaki hadi Mnazi Mmoja, hafla
hiyo iliyofanyika leo 8-1-2024, ikiwa ni shamrashamra za Miaka 60 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
No comments:
Post a Comment