RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Mkuu
wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF)
Jenerali Jacob John Mkunda alipofika
Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza kwa Maadhimisho ya Kilele cha Miaka 60 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar , zilizofanyika katika Uwanja wa Amaan Complex
Zanzibar jana 12-1-2024, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
13-1-224
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mkuu wa Majeshi
ya Ulinzi Tanzania (CDF) Jenerali Jacob
John Mkunda, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 13-1-2024

No comments:
Post a Comment