Habari za Punde

Kinana Asaini Kitabu cha Maombolezi Kufuatia Kifo cha Rais wa Namibia Dkt.Hage G. Geingob

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (Bara) Ndg. Abdulrahman Kinana amesaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Rais wa Jamhuri ya Namibia Hayati Mheshimiwa Dkt. Hage G. Geingob. Ndg Kinana amesaini Kitabu hicho katika Ofisi za  Ubalozi huo uliopo  Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Februari, 2024.(Picha na CCM) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.