RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa
Serikali alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege
Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, kwa ajili ya
ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Wadau wa Sekta ya Utalii “The Z Summit 2024”,
uliyofanyika leo 21-2-2024 katika ukumbi wa hoteli hiyo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuyafungua Maonesho ya Wadau
wa Sekta ya Utalii yanayofanyika katika ukumbi
wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya
Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, kabla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa
Wadau wa Sekta ya Utalii “The Z Summit 2024”
uliyofanyika leo 21-2-2024, na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa “The Z
Summit” ambae pia ni Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Ndg. Rahim Bhaloo
na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Utalii
na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea maonesho ya Wadau wa Sekta ya
Utalii “The Z Summit 2024” baada ya kuyafungua maonesho hayo yanayofanyika
katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya
Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 21-2-2024 , akipata maelezo kutoka kwa
Mwakilishi wa Kampuni ya Neela Boutique Hotel
Ndg. Steve Nhigula.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akiuliza swali kwa Mkurugenzi Mkuu wa kampuni Nyerere Tented Camp Bi.
Anita Daigle wakati akitembelea Maonesho ya Wadau wa Sekta ya Utalii “The Z Summit 2024” baada ya kuyafungua
katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya
ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 21-2-2024,na (kulia kwa Rais)
Mwenyekiti wa “The Z Summit” ambae pia
ni Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Ndg. Rahim Bhaloo na Waziri wa
Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mwakilishi wa
Kikundi cha “World Vegetable Center “ cha Tunguu Zanzibar Bi.Amina Adam Makame, wakati akitembelea
maonesho ya Wadau wa Sekta ya Utalii
“The Z Summit 2024” baada ya kuyafungua
katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya
ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 21-2-2024.
MWENYEKITI wa Kamati
ya “The Z Summit 2024” ambae pia ni Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii
Zanzibar Ndg. Rahim Bhaloo akizungumza
wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Wadau wa Sekta ya Utalii “The Z Summit
2024” unaofanyika katika ukumbi wa
Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja Jijini Zanzibar leo 21-2-2024, na uliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.
WAZIRI wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe.
Mudrik Ramadhan Soraga akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Wadau wa Sekta ya
Utalii “The Z Summit 2024” kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kuufungua
mkutano huo, unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa
Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”Unguja Jijini Zanzibar leo 21-2-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano Mkuu wa
Wadau wa Sekta ya Utalii “The Z Summit 2024” unaofanyika katika ukumbi wa
Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja Jijini Zanzibar leo 21-2-2024
WADAU wa Sekta ya Utalii wakifuatilia hutuba ya
ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Wadau wa Sekta ya Utalii “The Z Summit 2024” wakati
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akihutubia na kuufungua mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya
Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki
Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 21-2-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum na
Mkurugenzi Mkuu wa KILIFAIR Ndg. Tom
Kunkler, baada ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Wadau wa Sekta ya Utalii “The Z
Summit 2024” unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa
Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 21-2-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akionesha Gazeti la Sekta ya Utalii kwa
mwaka 2024 la “The Z Summit 2024” baada
ya kilizindua leo 21-2-2024 wakati wa Mkutano Mkuu wa Wadau wa Sekta ya Utalii,
uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege
Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Waziri wa Utalii na Mambo
ya Kale Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti
wa Kamati ya “The Z Summit 2024” ambae pia ni Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii
Zanzibar Ndg. Rahim Bhaloo.
WADAU wa Sekta ya Utalii wakifuatilia hutuba ya
ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Wadau wa Sekta ya Utalii “The Z Summit 2024” wakati
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akihutubia na kuufungua mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya
Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki
Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 21-2-2024
BAADHI ya Mabalozi Wadogo na Wageni Waalikwa na Wadau wa Sekta ya Utalii,
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano Mkuu wa Wadau wa
Sekta ya Utalii “The Z Summit 2024” unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya
Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini
Zanzibar leo 21-2-2024

No comments:
Post a Comment