RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Jumuiya ya
Veteran Young Pioneers Ndg.Khamis Rajab Mnubi (kulia kwa Rais) wakati wa
mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
28-2-2024
MKURUGENZI wa Bodi ya Wadhamini Jumuiya ya
Veteran Young Pioneers Zanzibar Ndg.Zaidu Juma Ussi, akitowa taarifa ya
historia ya Young Pioneers Zanzibar, wakati wa mazungumzo yao na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, mazungumzo hayo
yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-2-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa Jumuiya ya
Veteran Young Pioneers Zanzibar, ukiongozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo
Ndg.Khamis Rajab Mnubi (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika
ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-2-2024
na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Jumuiya hiyo Ndg.Issa Ismail
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa Jumuiya ya
Veteran Young Pioneers Zanzibar, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika
ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-2-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Taarifa ya Jumuiya ya Young
Pioneers Zanzibar na Katibu wa Jumuiya hiyo Ndg.Issa Ismail, wakati wa
mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
28-2-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini wa
Jumuiya ya Young Pioneers Zanzibar Mhe.Khadija Hassan Aboud, akitowa neno la
shukrani baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar leo 28-2-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa
Jumuiya ya Young Pioneers Zanzibar ukiongozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo
Ndg.Khamis Rajab Mnubi (kulia kwa Rais) baada ya kumaliza mazungumzo yao
yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-2-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Ujumbe wa Viongozi wa Jumuiya
ya Young Pioneers Zanzibar, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika
katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-2-2024.
No comments:
Post a Comment