Habari za Punde

RC Mtaka Aishikuru Taasisi ya Jakaya Mrisho Kikwete Kusaidia Mapambano Dhidi ya Utapiamlo na Udumavu kwa Watoto Mkoani Humo

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Jakaya Mrisho Kikwete (JMKF), Rais Mstaafu wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka kabla ya kuanza kwa mkutano wao katika makao makuu ya JMKF Masaki jijini Dar Jumanne jioni. Kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe, Bi Judica Omary..
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Jakaya Mrisho Kikwete (JMKF), Rais Mstaafu wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, katika mkutano na  Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka na ujumbe wake katika makao makuu ya JMKF Masaki jijini Dar Jumanne jioni. Kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe, Bi Judica Omary.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Jakaya Mrisho Kikwete (JMKF), Rais Mstaafu wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, katika Picha ya Pamoja na na  Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka na ujumbe wake katika makao makuu ya JMKF Masaki jijini Dar Jumanne jioni.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Jakaya Mrisho Kikwete (JMKF), Rais Mstaafu wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akipokea Ripoti ya hali ya Lishe Pamoja na Kalenda toka kwa  Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka baada ya mkutano wao katika makao makuu ya JMKF Masaki jijini Dar Jumanne jioni. Kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe, Bi Judica Omary.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.