Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na familia ya Waziri
wa Mambo ya Ndani Mhe. Hamad Masauni alipokwenda kuhani kufuatia kifo cha Baba
yake Mzee Masauni Yussuf Masauni aliyefariki dunia tarehe 23 Februari, 2024. Rais Samia
amekutana na familia hiyo nyumbani
kwao Migombani, Zanzibar tarehe 03 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri wa Mambo ya
Ndani Mhe. Hamad Masauni alipokuwa akitoa shukrani kwa Mhe. Rais kwa
kuwatembelea na kuwafariji kufuatia kifo
cha Baba yake Mzee Masauni Yussuf Masauni aliyefariki dunia tarehe 23 Februari,
2024. Rais Samia amekutana na familia hiyo nyumbani kwao Migombani, Zanzibar tarehe 03 Machi,
2024.
Baadhi ya Ndugu na Jamaa wa Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Hamad Masauni waliojumuika
wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokwenda
kuhani kufuatia kifo cha Baba yake Mzee Masauni Yussuf Masauni aliyefariki
dunia tarehe 23 Februari, 2024. Rais Samia amekutana na familia hiyo nyumbani
kwao Migombani, Zanzibar tarehe 03 Machi, 2024.
Baadhi ya Ndugu na Jamaa wa Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Hamad Masauni waliojumuika
wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokwenda
kuhani kufuatia kifo cha Baba yake Mzee Masauni Yussuf Masauni aliyefariki
dunia tarehe 23 Februari, 2024. Rais Samia amekutana na familia hiyo nyumbani
kwao Migombani, Zanzibar tarehe 03 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki dua na familia ya Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Hamad Masauni alipokwenda kuhani kufuatia kifo cha Baba yake Mzee Masauni Yussuf Masauni aliyefariki dunia tarehe 23 Februari, 2024. Rais Samia amekutana na familia hiyo nyumbani kwao Migombani, Zanzibar tarehe 03 Machi, 2024.
No comments:
Post a Comment