RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Viongozi wa Dini na Serikali alipowasili
katika viwanja vya Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B”Unguja
Jijini Zanzibar, kujumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Ibada ya Sala
ya Eid Fitry, iliyofanyika leo baada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu
wa Ramadhani
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiwa katika viwanja
vya Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini
Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, wakifuatilia hutuba ya
Sala ya Eid Fitry ikisomewa na Sheikh.Abdulkarim Said Abdulla, baada ya
kumalizika kwa Sala ya Eid Fitry iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar
Mazizini leo 10-4-2024, baada ya kumalizika kwa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa
Ramadhan
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiwa katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini
Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, wakifuatilia hutuba ya
Sala ya Eid Fitry ikisomewa na Sheikh.Abdulkarim Said Abdulla, baada ya
kumalizika kwa Sala ya Eid Fitry iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar
Mazizini leo 10-4-2024, baada ya kumalizika kwa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa
Ramadhan
BAADHI ya Viongozi wa Serikali,Balozi Mdogo wa
Oman na Wananchi wakifuatilia hutuba ya Sala ya Eid Fitry ikisomwa na Sheikh
Abdulkarim Said Abdulla, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Eid Fitry
iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja Jijini Zanzibar leo 10-4-2024, kwa kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi
Mtukufu wa Ramadhani kwa kuandama kwa mwezi jana
RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali
Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam na Viongozi wa Serikali katika
kutikia dua ikisomwa na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Hassan Othman Ngwali
(hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Eid Fitry,
iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja Jijini Zanzibar leo 10-4-2024, baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi
Mtukufu wa Ramadhani, na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh
Omar Kabi na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhajj Othman Masoud Othman
na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman
Abdulla na Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia
Suluhu Hassan. Mhe. Hafidh Ameir
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais wa Zanzibar Mstaafu
Alhajj Dkt. Amani Abeid Karume, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Eid
Fitry,iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi
“B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-4-2024, na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza
wa Rais wa Zanzibar Alhajj Othman Masoud Othman
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais
wa Zanzibar Mstaafu Alhajj.Balozi Seif Ali Iddi, baada ya kumalizika kwa Ibada
ya Sala ya Eid Fitry,iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya
ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-4-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM
Zanzibar Alhajj Dkt.Mohammed Said Dimwa, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala
ya Eid Fitry,iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya
Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-4-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwa katika picha na pamoja na Watoto,
baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Eid Fitry iliyofanyika katika Masjid
Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo
10-4-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wananchi wakati
akiondoka katika viwanja vya Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi
“B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-4-2024, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala
ya Eid Fitry iliyofanyika leo kwa kumamilisha Ibada ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu
wa Ramadhani.
No comments:
Post a Comment