RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akizungumza na mgeni wake Askofu Mkuu Mhashamu Justin Welby,mazungumzo
hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-5-2024, akiwa
na Ujumbe wake, wakiwa Zanzibar kwa ajili ya Ibada ya Maridhiano kutokana na
madhila waliyofanyiwa Waafrika wakati wa Biashara ya Utumwa inayotarajiwa
kufanyika kesho 12-5-2024 katika Kanisa la Anglikana Mkunazini Jijini Zanzibar

MAASKOFU wa Kanisa la Anglikana wakimsikiliza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
(hayupo pichani) wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar leo 11-5-2024, wakiwa Zanzibar kwa ajili ya Ibada ya Maridhiano
kutokana na madhila waliyofanyiwa Waafrika wakati wa Biashara ya Utumwa
inayotarajiwa kufanyika kesho 12-5-2024 katika Kanisa la Anglikana Mkunazini
Jijini Zanzibar

Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum na mgeni wake
Askofu Mkuu Mhashamu Justin Welby,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika
katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-5-2024, akiwa na Ujumbe wake, wakiwa
Zanzibar kwa ajili ya Ibada ya Maridhiano kutokana na madhila waliyofanyiwa
Waafrika wakati wa Biashara ya Utumwa, inayotarajiwa kufanyika kesho 12-5-2024
katika Kanisa la Anglikana Mkunazini Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Kasha mgeni wake Askofu
Mkuu Mhashamu Justin Welby,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika
katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-5-2024, akiwa na Ujumbe wake,
wakiwa Zanzibar kwa ajili ya Ibada ya Maridhiano kutokana na madhila
waliyofanyiwa Waafrika wakati wa Biashara ya Utumwa, inayotarajiwa kufanyika
kesho 12-5-2024 katika Kanisa la Anglikana Mkunazini Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Askofu Mkuu Mhashamu Justin Welby,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-5-2024, akiwa na Ujumbe wake, wakiwa Zanzibar kwa ajili ya Ibada ya Maridhiano kutokana na madhila waliyofanyiwa Waafrika wakati wa Biashara ya Utumwa, inayotarajiwa kufanyika kesho 12-5-2024 katika Kanisa la Anglikana Mkunazini Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Askofu Mkuu Mhashamu
Justin Welby,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa
Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-5-2024, akiwa na Ujumbe wake, wakiwa Zanzibar kwa
ajili ya Ibada ya Maridhiano kutokana na madhila waliyofanyiwa Waafrika wakati
wa Biashara ya Utumwa, inayotarajiwa kufanyika kesho 12-5-2024 katika Kanisa la
Anglikana Mkunazini Jijini Zanzibar
No comments:
Post a Comment