Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Ahutubia Siku ya Missa Kuu ya Upatanisho Kanisa la Anglikana Mkunazini Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Kuzindua Jiwe la Kumbukumbu la Maridhiano Waliyofanyiwa Waafrika Wakati wa Biashara ya Utumwa, baada ya kumalizika kwa Missa Kuu ya Upatanisho iliyofanyika leo 12-5-2024 katika Kanisa la Anglikana Mkunazini Wilaya ya Mjini Jijini Zanzibar, iliyoongozwa na Askofu Mkuu wa Canterbury Justin Welby.
ASKOFU Mkuu wa Canterbury  Justin Welby akizungumza baada ya kumalizika kwa Missa Kuu ya Upatanisho iliyofanyika leo 12-5-2024 katika Kanisa la Anglikana Mkunazini Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Michael Mndolwa akizungumza na kutowa maelezo mafupi wakati wa Missa Kuu ya Upatanisho, iliyoongozwa na Askofu Mkuu wa Canterbury Justin Welby, iliyofanyika leo 12-5-2024 katika Kanisa la Anglikana Mkunazini Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mhe Waziri Simbachawene na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waumini wa Kanisa la Anglikana Mkunazini Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 12-5-2024,baada ya kumalizika kwa Missa Kuu ya Upatanisho iliyoongozwa na Askofu Mkuu wa Canterbury Justini Welby, iliyofanyika katika Kanisa hilo
WAUMINI wa Dini Kanisa la Anglikana Mkunazini Jijini Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la  Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na  wakati wa Missa Kuu ya Upatanisho iliyofanyika leo 12-5-2024  katika Kanisa la Mkunazini Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar , iliyoongozwa na Askofu Mkuu wa Canterbury Justin Welby

WAUMINI wa Dini Kanisa la Anglikana Mkunazini Jijini Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la  Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na  wakati wa Missa Kuu ya Upatanisho iliyofanyika leo 12-5-2024  katika Kanisa la Mkunazini Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar , iliyoongozwa na Askofu Mkuu wa Canterbury Justin Welby.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimpongeza Askofu Mkuu wa Canterbury Justin Welby, baada ya kumalizika kwa Missa Kuu ya Upatanisho iliyofanyika leo 12-5-2024 katika Kanisa la Anglikana Mkunazini Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono Waumini wa Kanisa la Anglikana Mkunazini Jijini Zanzibar, wakati akiondoka baada ya kumalizika kwa hafla ya Missa Kuu ya Upatanisho na kuzindua Jiwe la Kumbukumbu ya Maridhiano Waliyofanyiwa Waafrika Wakati wa Biashara ya Utumwa
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.